HEBU TAZAMA KILICHOMTOKEA HASHEEM THABEET UWANJA WA TAIFA!!!! WABONGO WAMSHANGAA:!!!!







Mtanzania anayecheza kikapu katika Ligi ya Marekani maarufu kama NBA, Hasheem Thabeet, amekuwa kivutio kikubwa kwa mashabiki wa soka kwenye Uwanja wa Taifa,Dar.

Thabeet anayecheza katika timu ya Thunder, aliibuka na kuwasalimia mashabiki wakati Taifa Stars ikivaa Uganda nao walimshangilia kwa nguvu sana.
Newer Posts Older Posts
© Copyright WCB Daily Published.. Blogger Templates
Back To Top