Najua wengi walitamani sana kuiona hii familia ya former Miss Tanzania Jacqueline Ntuyabaliwe

J
Klyinn yukwapi? tunasikia kaolewa ila hatuna uhakika, muda ulipopita…. tunasikia kapata Watoto mapacha? …………….hayo ni baadhi ya maswali ya Watanzania waliokua wanazipenda na kuzifatilia kazi za mwimbaji ambae ni former Miss Tanzania Jacqueline Ntuyabaliwe.
millardayo.com imemmilikisha rasmi Klyn kwenye hii post akiwa sasa hivi ni mama wa watoto wawili mapacha kama unavyowaona hapa chini na Baba yao mzazi.
.
Klyinn na familia yake.
Hapa chini ni baadhi ya picha za Klyinn na watoto wake pamoja na kazi anayofanya kwa sasa.
K LYN 4 K LYN 3 K LYN 1 K LYN 2
Newer Posts Older Posts
© Copyright WCB Daily Published.. Blogger Templates
Back To Top