DIAMOND & WEMA WALIVYOTOKELEZEA RED CARPERT MTV


Diamond na Wema wakipiga picha za Red Carpet katika tuzo za MTV zilizofanyika  usiku wa kumkia leo  huko mjini Durban South Afrika, wadau wamempongeza designer wao kwa mavazi mazuri yaliyo match vizuri, kuanzia nguo hadi saa na bangili za mkono. NI SUPERB!
Newer Posts Older Posts
© Copyright WCB Daily Published.. Blogger Templates
Back To Top