INASEMEKANA HUYU NDIE MPENZI MPYA WA RAPPER CMB_Prezzo KUTOKA KENYA HUYU HAPA.

pREZZOCMB



Rapper  CMB Prezzo kutoka  Kenya ambaye pia alishawahi kutembea na wasichana maarafu kama marehemu Goldie, Diva, Huddah na hata Chagga Barbie ambao wote hao alitoka nao kwa muda wa mwaka mmoja.Lakin kuna tetesi zinazovuma kupitia socialnetworks rapper huyo ana mpenzi mwingine


Msichana huyo aliachia picha wakiwa pamoja na Rapper huyo na kuandika maneno haya  “Less than 24 hrs and it feel like a decade #QueenWithTheCrown.”

Picha yenyewe ndio hii hapa

Newer Posts Older Posts
© Copyright WCB Daily Published.. Blogger Templates
Back To Top