Kumbe nao wana Hekaheka yao,sikiliza Hekaheka ya Nuh Mziwanda na Shilole.


shishi 
Wapenzi wanaotoka kiwanda cha muziki Tanzania Nuh Mziwanda na Shilole leo walikua kwenye kipindi cha Leo tena ambapo walikua kama wageni kwenye kipengele cha Hekaheka,sasa yameibuka mengi ambayo mengine hatuyafahamu kuhusu uhusiano wao.
88.1 Clouds Fm inasikika ukiwa Mwanza.
Bonyeza play kusikiliza.


Newer Posts Older Posts
© Copyright WCB Daily Published.. Blogger Templates
Back To Top