MBUNGE JOSHUA NASSARI SIKU YA JANA AUGA UKAPERA NA KUOA PICHA ZOTE ZIKO HAPA.


 

Mbunge wa Arumeru mashariki Mh Joshua Nassari siku ya jana aliuga Ukapera kwa kufunga ndoa na Bi Annande Nnko katika kanisa la kipentekoste jijini arusha ikifutiwa na sherehe iliyofanyika katika ukumbi wa Arusha Academy ulioko Usariver jijini Arusha.Pichani juu Bwana Harusi Joshua Nassari akamvisha pete mkewe Anande Nnko.

Fuatilia mtitiriko wa matukio wote hapa













 


 






 






 














 




































 


 




Picha kwa Hisani ya Issamichuzi.blogspot.com
Newer Posts Older Posts
© Copyright WCB Daily Published.. Blogger Templates
Back To Top