AJALI:- PICHA YA AJALI YA GARI ILIYOTEKEA TEGETA KIBAONI

Wananchi wakiwa wananasua majeraha katika ajali hii iliyotokeo jioni ya leo majira ya saa 11.
katika ajali hii hakuna mtu yeyote aliyepoteza maisha ilihali waliokuwepo walipata majeruhi tu.
Ajali hii imetokea maeneo ya Tegeta kibaoni gari aina ya Mitsubish caster ilijikuta ikihama njia kidogo baada ya kuchomekewa na gari aina ya Landccruser na kusababisha gari hilo kuacha njia na kudodoka.
 
Gari likiwa limepinduka maeneo ya tegeta kibaoni wananchi wakiwa wanashuhudia tukio hilo.

 Raia wakijaribu kuangalia kwa makini kwenye gari kama kuna mtu yeyote aliyenaswa kwenye gari hilo.
Newer Posts Older Posts
© Copyright WCB Daily Published.. Blogger Templates
Back To Top