INASEMEKANA CRISS BROWN ANATAKA KUMRUDIA RIHANNA KWA KITENDO HIKI.





Mwanamziki Chris Brown inasemakana ana mawasiliano ya siri kati yake yeye na aliyekuwa mpenzi wake wa zamani mwanadada Rihanna lakini bado hakukuwa na ushahidi kuthibitisha hilo.

Mwanadada ambaye ni Melissa Ford ambaye ni rafiki wa karibu wa Rihanna kupitia mtandao wake wa Instagram alipost picha ya Chris na Rihanna na kuandika kuwa ni hao ndio couples anaowapenda,Chriss kuonyesha kuwa alipendezewa ali like ile post



Picha yenyewe ndio hii hapo juu,chini ni 
Rihanna pamoja na rafikiye Melissa Ford

Newer Posts Older Posts
© Copyright WCB Daily Published.. Blogger Templates
Back To Top