PICHA ZOTE KUTOA KWENYE MSIBA WA MTOTO WA MSANII JULIANA KANYOMOZI ZIKO HAPA.

Check Out The Moving Pictures Of Juliana Kinyamozi's Son's Funeral (PHOTO GALLERY)

Msanii Juliana Kanyomozi kutoka Uganda ambaye amefiwa na mtoto wake aliyekuwa na umri wa miaka  11 wa kiume aliyejulikana kwa jina la Keron amefariki katika hospital ya  Aga Khan iliyopo jijini Nairobi siku ya juma pili ambapo alipelekwa hapo kwa matibabu zaidi na hizi ni baadhi ya picha katika msiba nyumbani kwa Msanii Juliana kanyomozi 


Amon and Juliana at the graveside


Amon and Keron look on as Keron is lowered


Roger Mugisha and Bobi Wine (Red Top) comfort Amon

Bonyeza hapa kuona picha zaidi
Newer Posts Older Posts
© Copyright WCB Daily Published.. Blogger Templates
Back To Top