RAPPER CMB PREZZO ATUKANWA INSTAGRAM BAADA YA KUPOST PICHA HII.




Rapper kutoka kenya CMB Prezzo kupitia mtandao wa instagram alipost picha akiwa chumbani kwake huku akionekani hajatandika kitanda kila kitu kimevurugwa baadhi yamashabiki wake hawakufurahishwa kwa kitendo chake hicho hizo ni baadhi ya comment

Aliandika hivi 

prezzo254Truly Unruly #Rapcellency



president is quit messy..haha look at his room nawao #rapcellency


Lol how old are you prezooo


ona mwezio
Newer Posts Older Posts
© Copyright WCB Daily Published.. Blogger Templates
Back To Top