Hii ni ni miongoni mwa video atakazoachia July 07,audio imefanywa na producer Tuddy Thomas wimbo unaitwa Mdogo Mdogo umefanywa na director yule yule alitefanya video kadhaa za mastar wa Afrika anaitwa God Father.
Sekunde kadhaa za video hiyo ni hizi,. Bonyeza hapa kuitizama youtube