MSANII SHAA KUTOKA TANZANIA APATA DILI KUTOKA CITZEN TV YA KENYA.



Hitmaker wa single ya Sugua Gaga, Sarah Kaisi aka Shaa amepata shavu la kuwa jaji wa shindano kusaka vipaji vya kucheza la Sakata Mashariki.
Shaa ameungana na jaji kutoka Kenya aitwa Ian kwenye usaili wa Dar es Salaam uliofanyika Jumamosi hii. Kwa mwaka huu Sakata Mashariki iliyoanzishwa na kituo cha runinga cha Citizen cha Kenya, inashirikisha nchi za Kenya, Uganda na Tanzania.
Haijafahamika kama Shaa ataendelea kuwa jaji katika mashindano hayo yatakayoendelea kufanyika jijini Nairobi pale vikundi mbalimbali kutoka nchini hizo tatu vikiaanza kushindana.

 


Newer Posts Older Posts
© Copyright WCB Daily Published.. Blogger Templates
Back To Top