Picha za Meli kubwa na Ghali zaidi Kupanda hapa Afrika Mashariki Nauli yake ni Million 2 za Kitanzania Picha zote ziko hapa.




Acheni Mombosa iitwe jiji la maraha najua huwezi kuamini lakin ukiwa na  Sh100,000 ya kikenya sawa na Million 2 ya kitanzania unaweza kuenjoy kupaki meli ya kisasa kabisa inayomilikiwa na kampuni ya  Marhaba Travels ambapo ndani ya kiasi hicho unaingia wew pamoja na watoto wako wawili chini hapa ni baadhi ya picha za meli hiyo 




























Newer Posts Older Posts
© Copyright WCB Daily Published.. Blogger Templates
Back To Top