Picha za Ndege Mpya Anayomiliki Justin Bieber yenye Thamani ya Bilion 102 za Kitanzania.



Justin Bieber







Msanii Justin Bieber moja kati ya zawadi alizokuwa akizitarajia kwenye msimu huu wa Christmas ya mwaka 2014, ni kutoka kwenda kula bata na vitu ambavyo hakuwa kuwa navyo kipindi cha nyuma na katika kufanikisha hilo msanii huyo amenunua ndege yake ya binafsi maarufu kama private  jet na kupitia kaunti yake ya Instagram aliandika hivi

“New jet for Christmas, and she’s beautiful,”

Hizi ni picha mbili ya Jeti hiyo aina ya G6 aliyonunua kwa zaidi ya Dola za kimareka millon 60 sawa na Billion 102 za kitanzania



Justin Bieber private jet 


Justin Bieber private jet

Newer Posts Older Posts
© Copyright WCB Daily Published.. Blogger Templates
Back To Top