Story ya Mtangazaji Adamu Mchomvu Kupata Mtoto wa Kiume Iko Hapa




adamu mchomvu apata mtoto wa kiume



Mtangazaji Adam Mchomvu kutoka clouds fm ikiwa ni mahali pake pa kazi, kupitia U heard leo ya Dec kumi na sita amedhibitisha juu ya tarifa zake za kupata mtoto wa kiume, Soudy Brown alimtafuta Adam ambaye amethibitisha kuwa ni kweli amepata mtoto ambaye amezaliwa salama, mtoto wake na huyo na mzazi mwenzake wote wako salama kabisa.

Kama kifaa chako hakina uwezo bonyeza hapa kusikiliza








Newer Posts Older Posts
© Copyright WCB Daily Published.. Blogger Templates
Back To Top