Breaking News: Mbunge Mh. Kapten John Komba Afariki Dunia Jioni Hii

Habari zilizotufikia hivi punde ni kuwa Kapteni John Komba amefariki dunia katika Hospitali ya TMJ jijini Dar es Salaam.
Mpaka kufa kwake Kapteni John Komba alikuwa Mbunge wa jimbo la Mbinga Magharibi na Mjumbe wa Halmasauri Kuu ya CCM Taifa na Kiongozi wa bendi ya TOT.
“mwenyezimungu ailaze roho yake mahala pema pepono ameen”
Newer Posts Older Posts
© Copyright WCB Daily Published.. Blogger Templates
Back To Top