Hii ndio Style ya Amber Rose anayotumia kutamanisha Wanaume kwa Makalio yake.


Baada ya Rapper Wiz Khalifa Kutoa picha za nyumbani kwa Amber Rose zikionyesha jinsi uchafu uliokithiri nyumbani kwa mama wa mtoto wake wiki hii Staa Amber ameoneka katika jiji la Loss Angeles huku akitafuta baadhi ya Vifaa vya nyumba lakin kivazi alicho kivaa kinaonyesha dhahiri kuwa alikuwa akiwanda wanaume kama ilivyonukuliwa na moja ya mitandao mikubwa Marekani 

amber rose  


Licha ya Wiz Khalifa kutoa picha za nyumba ya Amber, Amber amemkata mtalaka wake Wiz Khalifa kumwona mwanae kabisa na hata siku ya Birthday ya mtoto hyo Wiz alikataliwa kuingia ndani huku Birthday hiyo ikipambwa na mama wa Mtoto pamoja na Black Chyna.


Amber Rose


Kweli Amber kajaliwa na shepu lakini sioni sababu ya yeye kutamanisha wanaume hadharani angekuwa mbaya ingekuwaje?????


Newer Posts Older Posts
© Copyright WCB Daily Published.. Blogger Templates
Back To Top