Kim Kardashian ameshare picha ya Utupu Kusherekea Follower Million 27 kwenye Instagram.

Staa Kim Kardashian ambaye ni mke halali wa Rapper Kanye West ameshare picha yake ya Utupu Baada kufanikiwa kufikisha Follower Million 27 ndani ya Mtandao wa kijamii wa Instagram ambapo aliachia picha hiyo hapo chini na kuandika Hivi 

 “27 mil on Instagram!!!!! Thank you so much!!!! I love you all!!!!!”

kim kardishian

Ikiwa hapa hapa kwetu Tumezoea kumwona Huddah Monroe ndie mwenye Tabia ya Kuachia Picha hizi, mashabiki wa Kim K wamekuwa na maono Tofauti juu ya Umbo la Kim K ambapo wengi wanasema Kanye anajilia vyake Vinono.

Newer Posts Older Posts
© Copyright WCB Daily Published.. Blogger Templates
Back To Top