Show ya Sauti Soul Kenya walivyo wapagawisha mashabiki Mwanza.


sauti-sol-kenya 


Kundi la muziki kutoka kule nchini Kenya Sauti Sol weekend walifanikiwa kuja Tanzania ndani ya Mwanza kwa ajili ya show yao.Mwanza walifurai na watu walijaa na wasanii hao kuhit na nyimbo yao ya ‘sura yako’ hizi hapa ni baadhi ya picha wakifanya yao kwenye stage.



sauti-sol-kenya
sauti-sol-kenya
sauti-sol-kenya


Newer Posts Older Posts
© Copyright WCB Daily Published.. Blogger Templates
Back To Top