Breaking News: Ajali Mbaya ya Basi Yatokea Mafinga, Inakadiliwa Watu Zaidi ya 50 Wamefariki Dunia papo hapo

Name:  IMG-20150311-WA0022.jpg Views: 0 Size:  63.4 KB
BREAKING NEWS: Ajali imetokea changalawe Mafinga basi la Majinja lilikuwa linatokea Mbeya kwenda Dar limeangukiwa na kontena muda huu na watu wengi wanakadiriwa kufariki na hali ni mbaya sana
Watu wapatao 50 wanahofiwa kufa papo hapo baada ya basi hilo la Majinja Express kugongana na lori na kuangukiwa na kontena



Endelea kutembelea hapa kwa habari zaidi
Newer Posts Older Posts
© Copyright WCB Daily Published.. Blogger Templates
Back To Top