Exclusive; Picha 5 za Jumba la Kifahari Analoishi Spika wa Bunge lenye Thamani ya Billion 1.5.


Spika wa Bunge la Tanzania Mh Anne Makinda ambaye kwa sasa anamiliki nyumba yenye thamani takibribani billion moja na nusu,nyumba hiyo ambayo ipo maeneo ya uzunguni nje kidogo ya Dodoma mjini.



Ujenzi wa nyumba hii umesimamiwa na kampuni ya Pacha Building Construction Company.Hii inakuwa nyumba ya kwanza rasmi ya Spika kwani hapo awali hapakuwahi kuwa na nyumba rasmi ya Spika.

Hizi ni baadhi ya picha za nyumba hiyo inavyoonekana 
 












Mambo ya Fedha hayo 
Newer Posts Older Posts
© Copyright WCB Daily Published.. Blogger Templates
Back To Top