Kenya wanaendelea Kutisha kwa kumiliki magari ya kifahari hii ni Ferrari.



Kenya Inaendelea kutisha kwa kumiliki magari ya kifahari na hii ni aina ya Ferrari F430 yenye rangi nyekundu. Kama ujuavyo magari haya yanamilikiwa na mastaa kama Ashley Cole na Samuel Eto'o wakiwa ni moja kati wachezaji matajiri zaidi Duniani picha ziko hapa endelea nazo.
















Kenya Immetisha kwa hili 


Newer Posts Older Posts
© Copyright WCB Daily Published.. Blogger Templates
Back To Top