Mboni Masimba wa The Mboni Show Ajifungua Mtoto wa Kiume

Leo asubuhi nikiwa katika pitapita zangu nimekutana na mtu akimpongeza Mboni kwa kujifungua mtoto wa kiume.

Hii imekuja kama suprise kwangu kwani wakati wote wa ujauzito alikuwa kimya tofauti na mtaa wa pili wanavyoinadi mimba ya wifi wa taifa na angalau sasa walimwengu watapunguza kuongea maneno yao ya kukera nafsi.

Hongera sana Mboni Masimba.Mola akukuzie Inshaalah.
Newer Posts Older Posts
© Copyright WCB Daily Published.. Blogger Templates
Back To Top