Nguo Fupi Yamzalilisha, Wanaume Wakware Wamshambulia, Aokolewa na Dereva Boda Boda



Hiyo ni Picha ya Msichana ambayo siku ya jana imesambaa sana mitandaoni...
Inasemekana alipita maeneo ya Sinza akiwa amevaa kinguo kifupi ambacho kilivuta hisia za wanaume  wakware na kuanza kumzonga zonga wakitaka kumvua kabisa kimini hicho huku wengine wakimchoma vidole sehemu zake za siri.

Kwa bahati nzuri alitokea  boda boda na kuamua kumsaidia kwa kumpakia na kutimua mbio.

 
Newer Posts Older Posts
© Copyright WCB Daily Published.. Blogger Templates
Back To Top