Mwanaume Afungwa Jela Baada ya Kufanya Mapenzi na Mbuzi wake.







Yule mwanaume aliwahi kuripotiwa kufanya mapenzi na mbuzi wake amefungwa kifungo cha Miezi sita baada ya kukamatwa akifanya mapenzi na mbuzi yule yule aliyezoea kufanya nae mapenzi. 

Mafanele Mafanele mwenye umri wa miaka 39,  Polisi wanasema kuwa mahakama ilimkumu kifungo hicho March 23 ambapo alikamatwa akivua suruali yake tayari kwa kumbaka mbuzi huyo. 

Mwanaume huyu ambaye mara ya kwanza alifungwa kifungo cha miezi kumi na mbili lakini alitumikia miez mitatu tu na polisi walimwachia baada ya kukiri kuwa hatarudia tena alichokifanya ila karudia tena.

Kweli mwanaume kuna haja ya kujanya hiviii kweli ni adiction au kitu gani?
Newer Posts Older Posts
© Copyright WCB Daily Published.. Blogger Templates
Back To Top