Photos; Muonekano Mpya wa Amber Rose Akiwa na Wiz Khalifa Easter Holiday.




Baada ya kukiri kuwa bado anahitaji penzi la Rapper Wiz Khalifa na bado anazidi kumwomba mungu warudiane, Amber Rose amebadilisha style ya nywele yake na kuanzia sasa utaanza kumuona akiwa na nywele za zambarau na baadhi ya picha zake akiwa na Wiz Khalifa akiwa Calabasas wakila bata siku ya Easter




Newer Posts Older Posts
© Copyright WCB Daily Published.. Blogger Templates
Back To Top