Tyga Ameachana na Kylie Jenner Baada ya Kumvunja Bikra?



Hizi websites za kiudaku za Huko kwa wenzetu kuna sometime wanajitoa akili. Kwa sasa habari inayopamba kurasa nyingi za website ya kudaku ni juu ya msichana wa miaka 17 Kylie Jenner ambaye inasemakana amepoteza Ubikra yake kwa Rapper Tyga Mwenye umri wa miaka 26 na kuanzia sasa msichana huyo inawezekana kanasa mimba ya Tyga. Oh, na kingine cha ajabu kuwa Tyga alishamuacha.

Kwa mujibu wa mtandao wa Hollywoodlife.com waliandika kama ifuatavyo


''Tyga has put an end to his relationship with Kylie Jenner, according to a new report. The rapper apparently thought that things have moved too fast between him and his teen girlfriend, so he’s decided to move on.
Tyga, 25, has called it quits with Kylie, 17, according to a new report. These two have been dating on the down-low for a while — but now sources are allegedly saying he is throwing in the towel on the relationship after finding out some shocking news!

The “Rack City” rapper has allegedly broken up with the KUWTK star because, “things got way too serious,” which has scared him away, according to a new report from Life&Style. Additionally, the strain of having to hide their relationship due to their age difference allegedly created turmoil between the two.
But that’s just the tip of the iceberg. Sources allegedly tell the magazine Kylie may be carrying Tyga’s baby. “The thought of Kylie being pregnant really scared the hell out of Tyga,” a source says tells the magazine. “She never saw the end coming.” While Tyga has allegedly ended things willingly, Kylie is apparently “devastated about the split.”

Duh sasa kama wew Kylie umeshika mimba ya Tyga utamutaje mtoto wako na baba ashakuacha, Tyga na wew Mbaya Umekula demu na Kuvunja Bikra ukasepa wakati ingekuwa kibongo mtu unavuta ndani kabisa......lol 
Newer Posts Older Posts
© Copyright WCB Daily Published.. Blogger Templates
Back To Top