CHADEMA WAFANYA MAANDAMANO YA AMANI KUELEKEA OFISI YA MKURUGENZI WA JIJI LA ARUSHA .

Wafuasi wa Chadema wakiandamana kuelekea katika ofisi za Mkurugenzi wa Jiji la Arusha kwenda kumpongeza kwa kusimamia vizuri uchaguzi wa Madiwani. (Picha zote na Picha na Ferdinand Shayo)
Wafuasi wa CHADEMA wakishangilia ushindi katika maandamano ya amani ya madiwani wapya na viongozi kwenda kumpongeza Mkurugenzi wa jiji kwa kusimamia uchaguzi vizuri.

Lema akiwa na madiwani wapya wakiingia katika jingo la Halmashauri kuonana na Mkurugenzi wa jiji

Newer Posts Older Posts
© Copyright WCB Daily Published.. Blogger Templates
Back To Top