Home
» event
» PADRI ALIYEVAMIWA NA MAJAMBAZI NA KUJERUHIWA KWA RISASI HUKO IRINGA AAMUA KUONDOKA NCHINI
PADRI ALIYEVAMIWA NA MAJAMBAZI NA KUJERUHIWA KWA RISASI HUKO IRINGA AAMUA KUONDOKA NCHINI
CodeNirvana
Waziri wa nchi ofisi ya waziri mkuu Sera na uratibu wa bunge ,Wiliam Lukuvi ambaye ni mbunge wa jimbo la Ismani akimfariji msaidizi paroko wa Parokia ya Isimani Herman Myalla (36) wa Kanisa aliyekuwa amelazwa Hospitali ya mkoa wa Iringa baada ya kuvamiwa na majambazi juzi