Msanii wa Bongofleva aliyeahi kutamba enzi na nyuma na nyimbo kma kafia ghetto na pia addicted Hussein Machozi amepewa masaa 24 afungashe kilicho chake na kuondoka nchini kenya baada ya kufaniwa akifanya mapenzi na mke wa mwanasiasa maarufu nchini kenya katika hotel ya Sarova WhiteSands.Ijapo hivi karibuni aliweka nadhiri yake kurelese ngoma yake mpya alishirikiana na Kundi la muziki kutoka kenya Sauti Sol hatuji itakuwaje
Endelea kuwa nasi kupitia Facebook na kuzipata mara zitufikiapo