UMEIYONA TUZO MPYA ALIYOICHUKUA CRISTIANO RONALDO NA KUMPITIA MPINZANI WAKE LIONEL MESI IKO HAPA.

439340_heroa


Mchezaji wa timu ya Real Madrid Cristiano Ronaldo amechukua tuzo ya Goal 50 baada ya kuchaguliwa kutokana na kura toka kwa waandishi wa habari 600 waliopata nafasi ya kupiga kura.Mchezaji huyo anachukua tuzo hiyo ikiwa ni mara ya tatu kwa sasa huku akimtupa mbali mpinzani wake Lionel Messi.Cristiano Ronaldo akiwa amefunga magoli 51 kwa timu yake ya Real Madrid na Nchi yake ya Ureno huku akiwashukuru mashabiki na wachezaji wa Real Madrid kwa sappoti kubwa waliompa mpaka sasa 
Newer Posts Older Posts
© Copyright WCB Daily Published.. Blogger Templates
Back To Top