Ata na matatizo ya ndoa msanii Mariah Carey anajitaidi awezavyo kufanya kazi kama kawaida, Hivi karibuni alikuwa kwenye show huko Shanghai China kwenye uwanja wa mpira. Nguo aliyovaa na na muonekano wake umezua gumzo kwenye mitandao.
Filed Under:
star photo
on Wednesday, 22 October 2014