Comedian kutoka Uganda Annie Kansiime amefunguka ya moyoni baada ya watu kujiuliza ni miaka mingi imepita toka aolewe mbona hatuoni mtoto! Hivi karibuni alipokuwepo katika moja ya show ake za vichekesho huko Uganda mwandishi mmoja wa habari alijitia uchizi na kumuliza kwa nini hazai lakin alisema kwa masikitiko makubwa kwa wameshajaribu kila njia lakini hawajapata mtoto mpaka sasa na hii ndio kauli ya mchekeshaji huyo
“We have tried every style and failed,” alisema Anne Kansiime
Unaambiwa show zake huwa zinajaza watu kuliko kawaida kama hii ya juzi ilivyofanyika jijini kampala watu walijaa kwenye show yake mpaka wengine wakakosa viti vya kukaa, Pia ni mchekeshaji maarufu mzaliwa wa Uganda sio Kenya